KAGAME CUP: MANARA AWATAKA MASHABIKI WA SIMBA KUISHANGILIA AZAM KESHO

KAGAME CUP: MANARA AWATAKA MASHABIKI WA SIMBA KUISHANGILIA AZAM KESHO

Like
306
0
Tuesday, 28 July 2015
Slider

Uongozi wa Simba Sc kupitia msemaji wao Haji Manara umetoa tamko la kuwataka mashabiki na wanachama wake kujitokeza kwa wingi kesho katika uwanja wa taifa kuishangilia timu ya Azam Fc itakayocheza dhidi ya Yanga katika mchezo wa robo fainali ya michuano ya Kagame.

 

Manara ametoa tangazo hilo leo wakati akizungumza na kipindi pendwa cha michezo nchini cha Sports Headquarters kinachorushwa kila jumatatu mpaka ijumaa kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa sita mchana kupitia EFM

Comments are closed.