KAMANDA WA POLISI FERGUSON AJIUZULU KUFUATIA RIPOTI YA KASHFA YA UBAGUZI WA RANGI

KAMANDA WA POLISI FERGUSON AJIUZULU KUFUATIA RIPOTI YA KASHFA YA UBAGUZI WA RANGI

Like
257
0
Thursday, 12 March 2015
Global News

KAMANDA wa Polisi katika mji wa Ferguson nchini Marekani amejiuzulu baada ya ripoti ya shirikisho kulaumu kitengo chake kina ubaguzi.

THOMAS JACKSON anakabiliwa na miito ya kumtaka ajiuzulu tangu yalipotokea maafa ya kuuawa kwa kupigwa risasi kwa MICHAEL BROWN, kijana Mweusi ambaye hakuwa na Silaha yoyote wakati tukio hilo likitokea.

Kijana huyo ameuawa na Mmoja wa Maafisa wake Agusti mwaka jana.

 

Comments are closed.