KAMANDA WA WA LRA AJISALIMISHA JAMHURI YA AFRIKA YA KATI

KAMANDA WA WA LRA AJISALIMISHA JAMHURI YA AFRIKA YA KATI

Like
308
0
Tuesday, 13 January 2015
Global News

SERIKALI ya Uganda imeeleza kuwa  Kamanda wa Kundi la Waasi la Lord Resistance Army-LRA DOMINI ONGWEN amejisalimisha Jamuhuri ya Afrika ya Kati, hivyo atakabidhiwa kwa Mahakama ya Kimataifa ya ICC.

Kamanda huyo ni miongoni mwa watu wa kundi la LRA wanaosakwa na viongozi wa Mashitaka katika Mahakama ya Kimataifa ya ICC kwa kutenda uhalifu dhidi ya binadamu.

Comments are closed.