KAMATI ya Hesabu za Serikali za mitaa inatarajia kwenda kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kukagua mapato na matumizi katika Halmashauri za mikoa ya Mwanza na Iringa.
Hayo yamebainishwa na mwenyekiti wa Kamati hiyo RAJAB MBARUK MOHAMED ambapo amesema Kamati itaondoka leo kwa kuwa ripoti ya CAG inaonyesha kuwa Mwanza ndiyo ilifanya vibaya zaidi kuliko zote….
Hata hivyo amesema, kuna fedha zaidi ya bilioni mia tatu zilizotolewa na wafadhiri kwa ajili ya Halmashauri hazikutumika.
MOHAMED