KANSELA ANGELA MERKEL AJIANDAA KUJIUNGA NA JAMII YA WAISLAMU

KANSELA ANGELA MERKEL AJIANDAA KUJIUNGA NA JAMII YA WAISLAMU

Like
242
0
Tuesday, 13 January 2015
Global News

KANSELA wa Ujerumani ANGELA MERKEL anajiandaa kujiunga na Jamii ya Waislamu katika maandamano ya Maridhiano na Kuvumiliana nchini Ujerumani na kulaani mashambulio yaliyofanywa na vijana wenye itikadi kali mjini Paris nchini Ufaransa wiki iliyopita.

Maandamano hayo pia yamelenga kutuma ujumbe wa kupinga vuguvugu lililooongezeka nchini Ujerumani dhidi ya Waislamu.

 

Comments are closed.