KATIMBA: SERIAKALI IBORESHE AMA IONDOE MUSWADA WA MAHAKAMA YA KADHI

KATIMBA: SERIAKALI IBORESHE AMA IONDOE MUSWADA WA MAHAKAMA YA KADHI

Like
276
0
Friday, 06 February 2015
Local News

NAIBU Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu na Shura za Maimamu nchini Sheikh RAJAB KATIMBA ameitaka serikali iuboreshe ama iuondoe muswada wa mahakama ya kadhi  kabla ya kuwasilishwa bungeni kwa mjadaala.

Akizungumza jijini Dar es salaam kwa niaba ya Jumuiya na Taasisi zaidi ya kumi za Waislam, Sheikh Katimba amesema Waislam wamepitia muswada na matamko yaliyotolewa na viongozi wa serikali na taasisi mbalimbali  kuwa yana lengo la kupotosha baadhi ya maneno ya maoni yaliyotolewa na waislam kupitia jumuiya na taasisi zao kuhusu muswada wa marekebisho ya sheria  yanayohusu Mahakama ya Kadhi kwenye kamati ya kudumu ya bunge ya katiba, Sheria na Utawala.

 

 

Comments are closed.