KENYA KUJENGA JELA YA WAHALIFU WA MAKOSA YA UGAIDI

KENYA KUJENGA JELA YA WAHALIFU WA MAKOSA YA UGAIDI

Like
238
0
Wednesday, 17 February 2016
Global News

RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema Nchi hiyo itajenga jela mpya ya kuwafunga wafungwa wenye makossa ya itikadi kali.

Kiongozi huyo amesema hatua hiyo itazuia wafungwa hao kutoeneza itikadi hizo kwa wafungwa wengine.

Kwa sasa ni wafungwa waliohukumiwa pekee ambao hutengwa na wafungwa wengine gerezani nchini Kenya.

Comments are closed.