KENYA: SHIRIKA LA NDEGE LA KQ LATANGAZA HASARA KUBWA YA SHILINGI BILIONI 25.7

KENYA: SHIRIKA LA NDEGE LA KQ LATANGAZA HASARA KUBWA YA SHILINGI BILIONI 25.7

Like
321
0
Thursday, 30 July 2015
Global News

SHIRIKA la ndege la Kenya –KQ- limetangaza hasara kubwa ya Shilingi bilioni 25.7 za Kenya sawa na dola milioni 2.57 katika kipindi cha fedha cha mwaka 2014-2015.

Hii ni hasara ya asilimia 661 ikilinganishwa na kipindi cha fedha cha mwaka 2013-2014 ingawa mwaka uliopita kampuni hiyo ya ndege ilitangaza kupata hasara ya shilingi bilioni 3.3.

Uongozi wa shirika hilo unasema kuwa hasara hiyo kubwa imetokana na kuporomoka kwa thamani ya sarafu ya Kenya ambayo imeporomoka kwa asilimia 11 ya thamani yake katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.

KENYA2

Kenya Airways yatangaza hasara kubwa ya dola bilioni 2.57

Comments are closed.