2 WACHOMWA MOTO ZAMBIA KWENYE VURUGU

2 WACHOMWA MOTO ZAMBIA KWENYE VURUGU

Like
341
0
Thursday, 21 April 2016
Local News

POLISI nchini Zambia wamesema watu wawili wamechomwa moto mjini Lusaka katika vurugu ya ubaguzi wa wenyeji dhidi ya wageni.

Watu Zaidi ya 250 wamekamatwa baada ya maduka mengi yanayomilikiwa na wanyarwanda kuvamiwa.

Uvamizi huo umetokea baada ya wanyarwanda hao kushutumiwa kuua watu na kutumia viungo vyao kuvutia wateja.

 

Comments are closed.