KENYA YATOA MIEZI MITATU KWA UNHCR KUIFUNGA KAMBI YA DADAAB

KENYA YATOA MIEZI MITATU KWA UNHCR KUIFUNGA KAMBI YA DADAAB

Like
274
0
Monday, 13 April 2015
Global News

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linalowahudumia wakimbizi UNHCR limepewa muda wa miezi mitatu kuifunga kambi ya wakimbizi mashariki ya Kenya na kuwarejesha kwao wakimbizi zaidi ya laki nne wa kisomali la sivyo serikali ya Kenya itawahamisha.

Kauli hiyo imetolewa na Makamo wa rais wa Kenya William Ruto ambaye amesema Serikali ya Kenya inasema kambi ya Dedaab imegeuka kituo cha usajili cha wafuasi wa itikadi kali wa Al Shabab-waliowauwa zaidi ya watu 148 wiki iliyopita katika chuo kikuu cha Garissa

Akihutubia hadhara ya watu mwishoni mwa wiki, makamo wa rais William Ruto amesema Kenya inabidi ilindwe kwa kila hali.

DDDD DDD

Comments are closed.