KENYATTA AMTAKA NKUNZINZA KUAHIRISHA UCHAGUZI MKUU BURUNDI

KENYATTA AMTAKA NKUNZINZA KUAHIRISHA UCHAGUZI MKUU BURUNDI

Like
335
0
Monday, 18 May 2015
Global News

RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta amemtaka Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kuahirisha uchaguzi mkuu nchini mwake unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao baada ya jaribio la mapinduzi dhidi ya utawala wa Nkurunziza kushindwa wiki iliyopita. Msemaji wa Rais wa Kenya Manoah Esipisu amesema viongozi hao wawili wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki walizungumza hapo jana kwa njia ya simu. Espisu amesema viongozi wengine wa nchi za kanda hiyo ya Afrika Mashariki wana mtizamo sawa na Kenyatta.

Comments are closed.