Kesi ya Bob Wine yaghairishwa

Kesi ya Bob Wine yaghairishwa

1
650
0
Monday, 01 October 2018
Global News

Mahakama mjini Gulu Uganda  imeahirisha kusikilizwa kwa kesi ya uhaini dhidi ya mbunge wa Kyadondo East Bobi Wine na watu wengine 34 hadi tarehe 3 Desemba.
Upande wa mashtaka umemuomba hakimu mkuu muda zaidi kukamilisha uchunguzi wake. Bobi Wine na wenzake wanadai kuhatarisha maisha ya rais Yoweri Museveni waliposhambulia msafara wake katika uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Arua.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *