KESI YA HABRE YAANZA LEO

KESI YA HABRE YAANZA LEO

Like
199
0
Monday, 07 September 2015
Global News

KESI inayomkabili aliyekuwa rais wa Chad, Hissène Habré dhidi ya uhalifu wa binadamu, kivita na mateso, imeanza kusikilizwa leo.

Siku 45 baadaye mawakili watatu walioteuliwa wamepata muda wa kutosha kuiangalia kesi hiyo lakini mteja wao hawatambui na amekataa kuwasiliana nao.

Jaji wa mahakama ya Burkinabe, Gberdao Gustave Kam ataamua iwapo kesi hiyo itaendelea bila upande wa utetezi wa Hissene Habre.

Comments are closed.