KESI YA WAFANYAKAZI TRA KUSIKILIZWA JANUARY 2016

KESI YA WAFANYAKAZI TRA KUSIKILIZWA JANUARY 2016

Like
221
0
Wednesday, 30 December 2015
Local News

KESI inayowakabili wafanyakazi wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) inatarajiwa kusikilizwa  tena January 13, mwaka  2016

 

Akizungumza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini dar es salaam Wakili wa Serikali Bi.Dianna Lukondo amesema kuwa kwa leo Kesi ilikuja kwa ajili ya kusikilizwa na kutoa dhamana kwa washtakiwa na hivyo imeshindikana kusikilizwa kutokana na upelelezi kutokamilika.

 

Washtakiwa hao wanatuhumiwa kwa kosa la uhujumu uchumi, wakidaiwa kuhusika na upotevu wa makontena 329 katika Bandari ya Dar es Salaam yaliosababisha ukwepaji wa ushuru zaidi ya shilingi Bilioni 80.

Comments are closed.