KIGWANGALLA: TUTAENDELEA KUTUMBUA MAJIPU

KIGWANGALLA: TUTAENDELEA KUTUMBUA MAJIPU

Like
248
0
Friday, 12 February 2016
Local News

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Dk. Hamisi Kigwangalla amesema kwamba wao kama viongozi wataendelea kumsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, MheshimiwaDkt. John Pombe Magufuli kutumbua majibu yanayokwamisha kutokupatikana kwa huduma bora za afya ,bila kuogopa wala kumwonea mtu kwa ajili ya maslahi ya  taifa.

 

Dokta Kigwangala ameyasema hayo  wakati wa maadhimisho ya 24 ya ibada maalum ya kuwaombea  wagonjwa Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika katika jimbo Kuu la Tabora  na baadae kwenye Hospitali ya Ndala, iliyopo Kata ya Ndala, Wilaya ya Nzega, Mkoani Tabora.

Comments are closed.