KIKOSI CHA BRAZILI KITAKACHOCHEZA KOMBE LA DUNIA NCHINI URUSI

KIKOSI CHA BRAZILI KITAKACHOCHEZA KOMBE LA DUNIA NCHINI URUSI

Like
888
0
Tuesday, 15 May 2018
Sports

Timu ya Taifa ya Braziri wametangaza kikosi chao kitakachocheza katika michuano ya Kombe la Dunia nchini Urusi.

Walinda lango: Alisson (Roma), Ederson (Manchester City), Cassio (Corinthians).

Mabeki: Danilo (Manchester City), Fagner (Corinthians), Marcelo (Real Madrid), Filipe Luis (Atletico Madrid), Thiago Silva, Marquinhos (both PSG), Miranda (Inter Milan), Pedro Geromel (Gremio).

Viungo wa kati: Casemiro (Real Madrid), Fernandinho (Manchester City), Paulinho (Barcelona), Fred (Shakhtar Donetsk), Renato Augusto (Beijing Guoan), Philippe Coutinho (Barcelona), Willian (Chelsea), Douglas Costa (Juventus).

Washambuliaji: Neymar (PSG), Taison (Shakhtar Donetsk), Gabriel Jesus (Manchester City), Roberto Firmino (Liverpool).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *