KILICHOANDIKWA NA LOLA OMOTAYO OKOYE KUFUATIA KIFO CHA BABA WA P SQUARE

KILICHOANDIKWA NA LOLA OMOTAYO OKOYE KUFUATIA KIFO CHA BABA WA P SQUARE

Like
346
0
Tuesday, 25 November 2014
Entertanment

Paul, Peter and Jude Okoye walimpoteza mama yao miaka miwili nyuma inasikitisha saana kusema kwamba jana pia wamempoteza baba yao mzazi

Kwa mujibu wa chanzo cha habari kimedai kuwa Mr. Okoye hivi karibuni alifanyiwa upasuaji wa goti na kuwa salama kiafya lakini hapo jana alipata ajali ya ndani baada ya kuteleza na kichwa chake kugonga sakafu ya marumaru

Ingawa hakuna taarifa rasmi kutoka kwa Peter, Paul na Jude Okoye ila Lola Omotayo-Okoye kupitia akaunti yake ya Instagram ameshea ujumbe wa kukuguswa na msiba huo wa baba yake mkwe

Our dearest “Gradpa Jos” it was just a week ago we were all hanging out with you, your grandchildren were running around you and playing with you. Cameron, Andre and Aliona all wondering why you had a cast on your leg and Cameron was playing with your crutches….Your warm smile and your energy kept us going. We were all happy that you were strong. You made us all laugh. This was the last thing we ever imaged. We are still in shock but we cannot question God as He knows best. May your gentle soul Rest in perfect peace our “grandpa Jos”. We miss you already. #RIP #Thebestfather-in-law”

Tunatoa pole kwa familia ya P square

 

Comments are closed.