KIMBUNGA CHAUA WATU 43 MAREKANI

KIMBUNGA CHAUA WATU 43 MAREKANI

Like
242
0
Monday, 28 December 2015
Global News

WATU 43 wameuawa katika kipindi cha siku tano zilizopita kutokana na kimbunga maeneo ya kusini na magharibi mwa Marekani.

Mafuriko, upepo mkali na barafu vimeharibu mamia ya nyumba na biashara na hivyo kuyumbisha shughuli za uchukuzi.

Idara ya taifa ya utabiri wa hali ya hewa nchini humo imetoa tahadhari ya kutokea kwa vimbunga katika majimbo ya Texas, Arkansas, Louisiana, Oklahoma and Mississippi.

Comments are closed.