KIMBUNGA CHAUKUMBA MJI WA SYDNEY AUSTRALIA

KIMBUNGA CHAUKUMBA MJI WA SYDNEY AUSTRALIA

Like
281
0
Wednesday, 16 December 2015
Global News

KIMBUNGA  kilichokuwa  na  kasi  ya  kilometa 200  kwa  saa kimeukumba  mji wa  Sydney  nchini  Australia  leo , na kuezuwa  mapaa  ya  nyumba  katika  kitongoji  cha  kusini ya  pwani  ya  mji  huo na  kusababisha  mafuriko  na mvua  ya  mawe.

 

Kimbunga  hicho , kilichokuwa  na  upepo mkali  kuwahi kuonekana  katika  mji  wa  Sydney , kilikuwa  sehemu  ya kimbunga  kikubwa  kilicholikumba  eneo  la  pwani  ya kusini  ya  New South Wales  na  Sydney  kabla  ya kuelekea  upande  wa  kaskazini, na  kusababisha mafuriko  na  uharibifu  mkubwa  wa  mali.

 

Comments are closed.