KINANA AWATAKA WANANCHI KUENDELEA KUIAMINI CCM

KINANA AWATAKA WANANCHI KUENDELEA KUIAMINI CCM

Like
219
0
Monday, 07 September 2015
Local News

WAKATI zoezi la uzinduzi wa kampeni za vyama mbalimbali likiendelea nchini Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi–CCM-ABDULRAHMAN KINANA amewaomba wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro kuendelea kukiamini chama hicho kwani kitaboresha shughuli za kuwaletea maendeleo.

 

Kinana ameyasema hayo mkoani humo wakati wa uzinduzi wa kampeni za ubunge na Urais jimbo la Moshi mjini na kusema kuwa chama cha CCM kimeandaa Ilani yenye lengo la kusuluhisha na kumaliza kero za wananchi.

Comments are closed.