KIONGOZI WA AL QAEDA AMEUAWA

KIONGOZI WA AL QAEDA AMEUAWA

Like
202
0
Wednesday, 22 July 2015
Global News

JESHI la Marekani limesema kuwa mmoja viongozi wa kundi la kigaidi la al-Qaeda, ameuwaa katika shambulio la angani lililotekelezwa na ndege za kijeshi za Marekani Nchini Syria.

Idara ya ulinzi ya Pentagon imesema kuwa Muhsin al-Fadhli, alikuwa kinara wa kundi la Khorasan, lililotumwa na al-Qaeda, kutoka Pakistan hadi nchini Syria.

Mmoja wa wajumbe wa bunge la congress amesema kuawawa kwa mtu huyo Al Fahdli mwenye ufahamu na gaidi hatari ambaye amekuwa akijaribu kuiangamiza Marekani na washirika wake ni faraja kubwa.

Comments are closed.