KIONGOZI WA UPINZANI ISRAEL AMPONGEZA NETANYAHU KWA USHINDI WAKE

KIONGOZI WA UPINZANI ISRAEL AMPONGEZA NETANYAHU KWA USHINDI WAKE

Like
249
0
Wednesday, 18 March 2015
Local News

KIONGOZI wa upinzani nchini Israeli Yitzhak Hertzog amempongeza Benjamin Netanyahu kwa ushindi wake katika uchaguzi wa ubunge nchini humo na kumtakia kila la kheri.

Netanyahu anelekekea kushinda nafasi ya kuhudumu kwa mara ya tatu kama waziri mkuu wa Israeli na hatamu yake ya nne kwa jumla.

Chama chake cha Likud kimepata ushindi wa asilimia 24 ya kura zilizopigwa dhidi ya asilimia 19 ya chama cha mrengo wa kushoto – Zionist Union.

 

Comments are closed.