KIPINDIPINDU BADO TISHIO GEITA

KIPINDIPINDU BADO TISHIO GEITA

Like
329
0
Tuesday, 05 January 2016
Local News

VIONGOZI wa Mkoa wa Geita wametakiwa wasiwaonee aibu kuwafungia wafanyabiashara wasiofuata kanuni za usafi wa mazingira na hivyo kupelekea mlipuko wa kipindupindu.

 

Hayo yamesema na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati alipotembelea kambi ya wagonjwa ya kipindupindu iliyopo kwenye kituo cha afya Nyankumbuli mjini Geita.

 

Waziri Ummy amesema mlipuko wa kipindupindu upo hivyo kuwafumbia macho wale ambao wanafanya biashara katika mazingira yasiyo safi na salama lazima watu hao wafungiwe.

 

 

Comments are closed.