KITENGO CHA UPASUAJI WA MOYO MUHIMBILI KIMETANGAZA KUJITENGA KUWA TAASISI INAYOJITEGEMEA

KITENGO CHA UPASUAJI WA MOYO MUHIMBILI KIMETANGAZA KUJITENGA KUWA TAASISI INAYOJITEGEMEA

Like
369
0
Wednesday, 21 October 2015
Local News

KITENGO cha upasuaji wa moyo  Mhimbili,  kimetangaza kujitenga kutoka kwenye kitengo na kuwa Taasisi inayojitegemea  kwa lengo la kuboresha huduma zake na kuwa taasisi ya kisasa kwa Afrika Mashariki   ikitatambulika kama Taasisi ya moyo ya JAKAYA KIKWETE.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam, wakati wa kutangaza mabadiliko hayo Kaimu mkuu  wa taasisi hiyo Profesa MOHAMEDI JANABI amesema kuwa mbali na kujitenga huko pia taasisi hiyo imekuwa na mafaniko makubwa ambapo mwaka huu  pekee 2015 wameweza kufanya upasuaji kwa wagonjwa 172  ikilinganishwa  na  kipindi cha miaka sita iliyopita kutoka mwaka 2008 hadi mwaka 2014 waliwezea kufanya upasuaji wawagonjwa 394 pekee.

Comments are closed.