KOFI ANNAN AWASILI CUBA KUHAMASISHA MAZUNGUMZO YA AMANI

KOFI ANNAN AWASILI CUBA KUHAMASISHA MAZUNGUMZO YA AMANI

Like
275
0
Friday, 27 February 2015
Global News

KATIBU MKUU wa zamani wa umoja wa mataifa Kofi Annan amewasili nchini Cuba kuhamasisha mazungumzo ya amani kati ya serikali ya Colombia na nchi zenye makundi ya waasi.

Mazungumzo hayo yanayofanyika mjini Havana ni mwendelezo wa jitihada za kusaka Amani katika nchi kwa zaidi ya miaka miwili hadi sasa.

Hata hivyo katika mazungumzo hayo ya Amani lengo ni kumaliza migogoro iliyodumu kwa zaidi ya miongo mitano.

 

Comments are closed.