KOFIA YA MZEE AKILIMALI YAZUA KIZAAZAA

KOFIA YA MZEE AKILIMALI YAZUA KIZAAZAA

Like
505
0
Tuesday, 23 August 2016
Slider

Baada ya sekeseke la aliyekuwa Katibu wa Baraza la Wazee la Yanga Mzee Yahya Akilimali na wapenzi na mashabiki wa klabu hiyo. Limechukua sura mpya baada ya kuibiwa kofia yake alipokuwa ameketi maeneo yanayosemekana kulikuwa na vijana waliokuwa wakimfuatilia.

akili

Mzee Akilimali ameeleza kuwa, walishamaliza tofauti zao na mashabiki wa kbabu hiyo waliokuwa wakimfuatilia na kinachofanyika sasa ni uhuni tu wa vijana wa mtaani aliodai ni watumiaji wa dawa za kulevya. (Mateja)

Comments are closed.