KOREA KASKAZINI YAFYATUA MAKOMBORA MAWILI YA MASAFA MAREFU

KOREA KASKAZINI YAFYATUA MAKOMBORA MAWILI YA MASAFA MAREFU

Like
296
0
Friday, 13 March 2015
Global News

WIZARA ya ulinzi nchini Korea Kusini inasema kuwa Korea Kaskazini imefyatua makombora mawili ya masafa marefu kwenda baharini eneo la pwani ya mashariki.

Tukio hilo limeripotiwa wakati kukiwa na msukosuko katika rasi hiyo huku korea kusini na marekani wakiendelea na mazoezi ya kijeshi ya kila mwaka.

Korea na marekani wanasema kuwa mazoezi hayo ni ya kujilinda lakini korea kaskazini inayaona kuwa ya kutaka kuivamia.

Comments are closed.