KOREA KASKAZINI YARUSHA MAKOMBORA KUJIBU VIKWAZO VYA UN

KOREA KASKAZINI YARUSHA MAKOMBORA KUJIBU VIKWAZO VYA UN

Like
245
0
Thursday, 03 March 2016
Global News

KOREA KASKAZINI imerusha makombora ya masafa mafupi, baharini kujibu vikwazo vipya ilivyowekewa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

Jeshi la Korea Kusini limethibitisha kushuhudia shughuli hiyo na kusema kwamba havikulenga mtu yeyote.

Miongoni mwa vikwazo vipya vilivyowekwa na umoja wa Mataifa kwa nchi hiyo ni pamoja na kuhakikisha mizigo yote inayoingia Korea Kaskazini kutoka nje kuanza kukaguliwa.

Comments are closed.