KOREA KASKAZINI YATHIBITISHA KUFANYA JARIBIO LA BOMU LA HAIDROJENI

KOREA KASKAZINI YATHIBITISHA KUFANYA JARIBIO LA BOMU LA HAIDROJENI

Like
344
0
Wednesday, 06 January 2016
Global News

KOREA KASKAZINI imesema kwa mara ya kwanza imefanikiwa kufanya majaribio ya bomu la nguvu ya maji, maarufu kama bomu la haidrojeni.

 

Tangazo hili limetolewa na runinga ya taifa baada ya kusikika mitetemeko ya ardhi ya kipimo cha tano nukta moja, karibu na eneo kuliko na kinu cha nyukilia.

 

Wataalamu wa Marekani wanafanya uchunguzi ikiwa yalikua majaribio ya bomu hilo au ilikua zana nyingine ya nyuklia isiyokuwa na nguvu.

 

Comments are closed.