KOVA: ONGEZEKO LA AJALI DAR ZINASABABISHWA NA PIKIPIKI

KOVA: ONGEZEKO LA AJALI DAR ZINASABABISHWA NA PIKIPIKI

Like
253
0
Monday, 12 January 2015
Local News

ongezeko la ajali za barabarani jiji la Dar es salaam  zinasababishwa na madereva wa Pikipiki kwa kutozingatia Sheria na taratibu za usalama barabarani.

Kamanda KOVA amesema ongezeko hilo la ajali ni kithibitisho kuwa madereva hao hawana mafunzo ya uendeshaji wa vyombo hivyo.

Comments are closed.