KUBUKUMBU YA MIAKA 19 TANGU KUZAMA KWA MELI YA MV BUKOBA

KUBUKUMBU YA MIAKA 19 TANGU KUZAMA KWA MELI YA MV BUKOBA

Like
430
0
Thursday, 21 May 2015
Local News

TANZANIA leo inakumbuka miaka 19 tangu kutokea kwa ajali  ya kuzama kwa meli ya Mv Bukoba ambayo ilizama siku kama ya leo mwaka 1996 ambapo zaidi ya watu elfu moja walipoteza maisha yao.

Tangu kuzama kwa meli ya Mv Bukoba limebaki kuwa tukio la kihistoria ambalo athari zake ziko wazi kwa mamia ya familia waliopoteza ndugu na wategemezi wao.

Inakadiliwa zaidi ya watu 1000 walikufa kutokana na Meli hiyo kudaiwa kuwa ilijaza kuzidi uwezo wake.

Comments are closed.