KUMBE DESIRE LUZINDA NA CINDY NI KITU KIMOJA

KUMBE DESIRE LUZINDA NA CINDY NI KITU KIMOJA

Like
452
0
Wednesday, 12 November 2014
Entertanment

Kupitia interview aliyofanya na bbc hivi karibuni Desire luzinda amedai kuwa anahofu saana kufuatia kuvuja kwa picha hizo kitendo kinachofanya ajifiche lakini pia yupo tayari kulikabili tatizo hilo. Ameongeza kuwa hata mama yake mzazi ameumizwa saana na tukio hilo

“When my mother called me she was like honestly were you drunk, were you drugged, this is not you, I didn’t even have an answer, I felt her pain, I cried when she was talking to me,” Desire said.

Lakini pia kumbe mwaka 2008 Cindy pia alipata mkasa kama huo akiwa nae pia ni msanii kutoka Uganda ila tofauti yao ni kusambaa zaidi kwa picha za desire luzinda kufuatia maendeleo ya teknolojia

cind

Comments are closed.