KUMBUKUMBU YA KIFO CHA NOTORIUS B.I.G

KUMBUKUMBU YA KIFO CHA NOTORIUS B.I.G

Like
555
0
Wednesday, 09 March 2016
Entertanment

Tarehe kama ya leo 9th March mwaka 1997 ikiwa ni siku mbili baada ya kutwaa tuzo katika tukio la Soul Train music Awards Rappa anaeaminika kua ni bora wa muda wote Notorius.B.I.g akiwa anatoka katika Party moja majira ya saa 6 na nusu usiku gari aliyopanda ilisimama katika mataa ndipo ilitokea gari nyingine nyeusi aina ya chevrolet impala ss na dereva wake kushusha kioo na kumimina risasi kuelekea kwenye gari ya biggie ambazo zilimpata na kumjeruhi vibaya na kukimbizwa hospitali na mpaka kufikia saa 7 na robo biggie alikua ameiaga dunia hapo ni miezi 6 tu tangu kifo cha hasim wake Tupac Shakur! ‪#‎kuvifactsoftheday‬ ‪#‎kumbukumbuyabiggie‬

Comments are closed.