Kutoweka kwa Jamal Khashoggi: Mkuu wa UN ataka ‘ukweli’ kuhusu kutoweka kwake

Kutoweka kwa Jamal Khashoggi: Mkuu wa UN ataka ‘ukweli’ kuhusu kutoweka kwake

Like
1490
0
Saturday, 13 October 2018
Global News

Taarifa za kutoweka kwa mwanahabari wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi na madai ya kwamba huenda ameuawa zimeendelea kugonga vichwa vya habari kote duniani

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres sasa anasema kuwa ”anataka ukweli” kuhusiana na kutoweka kwa mwanahabari Jamal Khashoggi.

Bwana Guterres ameimbia BBC kuwa anahofia visa vya kutoweka kwa watu kama vile mwanahabari Jamal Khashoggi huenda ikawa “Jambo la kawaida”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *