LALIGA: HUU NDIO MKWANJA ULIOVUNWA NA BARCELONA KATIKA MSIMU WA 2015/16

LALIGA: HUU NDIO MKWANJA ULIOVUNWA NA BARCELONA KATIKA MSIMU WA 2015/16

Like
458
0
Tuesday, 26 July 2016
Slider

Machampion wa kandanda nchini Hispania klabu ya Fc Barcelona imetangaza kuvuna kitita cha Euro million 679 katika msimu uliopita 2015/16 wa ligi kuu ya huko ‪#‎Laliga‬.

Katika makusanyo hayo yaliyovunja rekodi klabu hiyo imetangaza kupata faida ya Euro milioni 29 baada ya makato ya kodi.

Katika hatua nyingine klabu hiyo imetangaza mipango yake ya upanuzi wa dimba la Camp Nue kwa siku za usoni kupitia faida watakazopata

Comments are closed.