LAWAMA ZATOLEWA KWA WAHUDUMU WA AFYA YA UZAZI TINDE SHINYANGA

LAWAMA ZATOLEWA KWA WAHUDUMU WA AFYA YA UZAZI TINDE SHINYANGA

Like
323
0
Thursday, 05 March 2015
Local News

BAADHI ya Wajawazito katika Kata ya Tinde,Halmashauri ya Wilaya Shinyanga wamewalalamikia wahudumu wa Kituo cha Afya Cha Tinde, kuwadai fidia na kuzuia kadi za Kliniki.

Wahudumu hao baada ya kuwapima wajawazito ,hudai shilingi 2000 kwa kila Mjamzito.Wakizungumza na Efm kituoni hapo,baadhi ya wajawazito wamesema tabia hiyo ni ya siku nyingi na imekuwa ni kero kwao.

Comments are closed.