LIBYA: MATAIFA YA MAGHARIBI YATAKA SULUHU YA KISIASA KUMALIZA MZOZO

LIBYA: MATAIFA YA MAGHARIBI YATAKA SULUHU YA KISIASA KUMALIZA MZOZO

Like
250
0
Wednesday, 18 February 2015
Global News

KUNDI la mataifa ya nchi za Magharibi limetaka kuwepo kwa hatua za dharaua kutafuta suluhu ya kisiasa katika mzozo uliopo nchini Libya ambapo makundi hasimu yanang’ang’ania madaraka.

Taarifa hiyo kutoka Marekani , Uingereza , Ufaransa , Ujerumani, Italia na Uhispania imejiri baada ya Misri kuomba msaada wa Jeshi la Kimataifa.

February 15 mwaka huu Misri imethibitisha kuwa wanamgambo wa Islamic State waliwakata vichwa watu 21 raia wake ambao ni Wakisristo wa madhehebu ya Coptic

 

 

 

 

 

Comments are closed.