LIL WAYNE AKABILIWA NA KESI YA KUJIBU

LIL WAYNE AKABILIWA NA KESI YA KUJIBU

Like
287
0
Thursday, 16 April 2015
Entertanment

Rapa Lil Wayne anakabiliwa na kesi ya kujibu baada ya kushtakiwa na aliekuwa dereva wa gari la msafara wa show yake ya mwaka 2014 summer concert tour.

 

Mark Jones amemtuhumu Lil Wayne kwakutaka kufanya jaribio la kumuua wakati anaendesha msafara wa msanii huyo na kikosi chake ambapo dereva huyo amedai kuwa Wayne alikuwa akitumia lugha za vitisho anapotoa maelekezo ya msafara huo mfano alipotaka kwenda hotelini alimfuata na bunduki na kuiweka sawa kisha akamuamuru afuatishe matakwa yake la sivyo atamfyatulia risasi

 

Hivyo basi Jones ameamua kufungua kesi dhidi ya msanii huyu kufuatia vitisho vya maisha na kumfanya akose amani

Comments are closed.