LIVERPOOL: HALI NI TETE KWA BRENDAN RODGERS

LIVERPOOL: HALI NI TETE KWA BRENDAN RODGERS

Like
223
0
Tuesday, 21 April 2015
Slider

Kocha wa klabu ya Liverpool Brendan Rodgers yupo kwenye wakati mgumu baada ya kushindwa kutwaa taji lolote katika misimu mitatu ya mwanzo ya kuwanoa vijogoo hao wa Anfield.

Hii ni rekodi ambayo haijawahi tokea kwa kocha yeyote tangu mwaka 1950 ndani ya kikosi hicho. ,Je ni wachezaji wasiokidhi viwango?,au ni mbinu za kocha zilizogota mwisho?hayo ni baadhi ya maswali ambayo bado hayana majibu,huku Brendan Rodgers hata kama anakula basi chakula hakishuki uzuri kwani hajui nini hatima yake kufuatia kuboronga huko.

Comments are closed.