LOWASSA APANDA DALADALA KUFANYA TATHMINI YA MATATIZO YA USAFIRI DAR

LOWASSA APANDA DALADALA KUFANYA TATHMINI YA MATATIZO YA USAFIRI DAR

Like
714
0
Monday, 24 August 2015
Local News

KATIKA  kufanya Tathmini ya matatizo ya usafiri kwenye jiji la Dar es salaam, Mgombea Urais kupitia vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi-UKAWA– Edward Lowasa akiambatana na Mgombea mwenza Juma Duni Haji ametembelea maeneo mbalimbali ya jiji kwa kutumia usafiri wa daladala.

 

Lowasa ametumia usafiri huo majira ya asubuhi akitokea Gongo la Mboto wilayani Ilala jijini Dar es salaam hadi eneo la Pugu na kutoka Pugu hadi Mbagala ambapo amejionea namna ambavyo wananchi wa Dar es salaam wanavyopata shida ya usafiri hasa nyakati za asubuhi.

LOWASSAAAA

LOWASA

Comments are closed.