LOWASSA KUOMBA RIDHAA YA KUWANIA URAIS KWA TIKETI YA CHADEMA LEO

LOWASSA KUOMBA RIDHAA YA KUWANIA URAIS KWA TIKETI YA CHADEMA LEO

Like
315
0
Thursday, 30 July 2015
Local News

MWANACHAMA mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA, Edward Lowasa  asubuhi hii anachukua fomu kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hii itakuwa ni mara ya tatu kwa kiongozi huyo kuchukua fomu kwa ajili ya kutaka nafasi hiyo ya juu nchini, ambapo mara ya kwanza ilikuwa mwaka 1995 kisha Juni mwaka huu akiwa ndani ya chama cha Mapinduzi-CCM, kabla jina lake halijakatwa na vikao vya juu vya chama hivho Julai 12 mwaka huu na yeye kuhamia Chadema.

Comments are closed.