LOWASSA: SERIKALI YA KIKWETE IMEFANYA MAKUBWA

LOWASSA: SERIKALI YA KIKWETE IMEFANYA MAKUBWA

Like
315
0
Friday, 12 December 2014
Local News

MBUNGE WA MONDULI na waziri Mkuu wa zamani Mheshimiwa EDWARD LOWASSA amesema Serikali ya Awamu ya Nne inayoongozwa na Rais JAKAYA KIKWETE imefanya makubwa ikiwa ni pamoja na usambazaji Umeme na Maji Vijijini.

Mheshimiwa LOWASSA ameeleza hayo wakati akizungumza katika Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Viongoji huko Bwawani Mto wa Mbu Wilayani Monduli.

Amebainisha kuwa haijawahi kutokea Serikali ya Rais KIKWETE imefanya makubwa katika Umeme, Barabara na Maji na kwamba wakati akiwa Waziri wa Maji serikali imejitahidi kusambaza Umeme na Maji Vijijini.

 

Comments are closed.