LUCA TONI KUSTAAFU SOKA MWISHONI MWA MSIMU WA SERIE A

LUCA TONI KUSTAAFU SOKA MWISHONI MWA MSIMU WA SERIE A

Like
302
0
Monday, 07 December 2015
Slider

Mshambuliaji wa zamani wa Juventus na Bayern Munich, Luca Toni kustaafu soka mwishoni mwa msimu huu wa Serie A.

Mshambuliaji huyu mwenye rekodi ya kutwaa kombe la dunia akiwa na kikosi cha Italy amepanga kustaafu baada kusakata kabumbu kwa miaka 22.

Luca Toni 38- ametumikia klabu 15 katika maisha yake ya soka, mshambuliaji huyu wa Hellas Verona anaturudisha nyumbani Tanzania ambapo hivi karibuni nahodha wa timu ya taifa Nadir Haroub pia ametangaza kustaafu soka baada ya miaka mitatu

 

 

Comments are closed.