LUIS SUAREZ AFANYA KWELI ETIHAD

LUIS SUAREZ AFANYA KWELI ETIHAD

Like
251
0
Wednesday, 25 February 2015
Slider

Kwa misimu saba mfululizo Barcelona wameifikia robo fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya wakati klabu ya Manchester City haikuwahi kufikia hatua hiyo kwenye historia yake.

Katika mchezo uliochezwa hapo jana na kumalizika kwa Barcelona kuichapa Manchester City 2-1

Luis Suarez aliziona nyavu mara mbili kwenye ardhi ya Uingereza alipotokea kabla ya kusaini na klabu ya Barcelona na kuweza kuifundisha adabu Manchester City huko katika viwanja vya Etihad.

Comments are closed.