LUKE SHAW NJE KWA ZAIDI YA MIEZI 6

LUKE SHAW NJE KWA ZAIDI YA MIEZI 6

Like
294
0
Wednesday, 16 September 2015
Slider

Meneja wa klabu ya Manchester Louis van Gaal ameekeza kuwa mlinzi Luke Shaw was alitolewa uwanjani akiwa anatokwa machozi kufuatia maumivu makali aliyoyapata baada ya kuvunjika mguu hivyo atalazimika kukaa nje kwa muda usiopungua miezi sita.

 

Shaw, 20, aliwekewa hewa ya Oxygen kumsaidia wakati akipokea matibabu na kutolewa uwanjani kuelekea kwenye chumba cha kubadilisha mavazi

S

Mchezo huo ulimalizika huku klabu ya Manchester ikikubali kupokea kichapo cha magoli 2-1 dhidi ya Psv.Memphis Depay alianza kuifungia timu yake bao la kwanza kabla ya Héctor Moreno wa PSV kusawazisha kisha Luciano Narsingh akifunga bao la ushindi.

l2

Comments are closed.