LULU NA RICHIE WANG’ARA TUZO ZA AMVCA2016

LULU NA RICHIE WANG’ARA TUZO ZA AMVCA2016

Like
634
0
Monday, 07 March 2016
Entertanment

Waigizaji wa filam Kutoka Tanzania Elizabeth Michael (Lulu) na Single Mtambalike Richie wamefanikiwa kubeba tuzo moja moja kwenye kilele cha Africa Magic Viewers Choice awards.

Richie ndie alikuwa wa kwanza kuwainua watanzania pale alipotangaza kutwaa tuzo kwenye kipengere cha BEST INDIGENOUS LANGUAGE MOVIE/TV SERIES  – SWAHILI kupitia filam ya KITENDAWILI huku Lulu akinyakuwa tuzo ya Best Movie East Africa kupitia filam ya Mapenzi ya Mungu.

Tuzo hizo zilifanyika Nchini Nigria katika jiji la Lagosa na kuwakutanisha mastar mbalimbali kutoka kila kona ya Afrika akiwemo Ali Kiba kutoka Tanzania

IMG-20160305-WA0098

IMG-20160305-WA0099

RED CARPET ILIYOWAKUTANISHA MASTAR NA NOMINEES

IMG-20160305-WA0100

IMG-20160305-WA0101

IMG-20160305-WA0102

IMG-20160305-WA0103

IMG-20160305-WA0104

IMG-20160305-WA0105

IMG-20160305-WA0106

LULU AKIWA NA TUZO YAKE

IMG-20160306-WA0029

Comments are closed.