MAAFA MECCA: MFALME AAGIZA KUPITIWA UPYA MASUALA YA HIJA

MAAFA MECCA: MFALME AAGIZA KUPITIWA UPYA MASUALA YA HIJA

Like
243
0
Friday, 25 September 2015
Global News

MFALME Salman wa Saudi Arabia ametoa agizo la kupitiwa upya kwa masuala ya hija baada ya watu zaidi mia saba kufariki kutokana na msongamano nje ya msikiti wa Macca.

Watu wengine mia nane walijeruhiwa katika tukio hilo ambapo inaelezwa kuwa vifo hivyo ni vingi kutokea katika hija kwa takriban miaka ishirini na tano iliyopita.

Maafa hayo yalitokea mahujaji takriban milioni mbili walipokuwa wakishiriki moja ya kaida muhimu za mwisho katika ibada za hija.na  huo ndio mkasa mbaya zaidi kutokea wakati wa hija katika kipindi cha miaka 25.

Comments are closed.