MABADILIKO YA HALI YA HEWA YAATHIRI UCHUMI

MABADILIKO YA HALI YA HEWA YAATHIRI UCHUMI

Like
205
0
Wednesday, 25 March 2015
Local News

KUENDELEA kuongezeka kwa matukio ya mabadiliko ya hali ya hewa,kumeathiri sekta ya kiuchumi,ikiwemo Kilimo na Ufugaji.

Hivi karibuni maeneo ya Kanda ya Ziwa Victoria,hususan Wilaya ya Kahama,kumeshuhudiwa matukio hayo ya kupotea kwa mifugo na uharibifu wa mazao.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa-TMA,Dokta AGNES KIJAZI,amesema kuwa,ili kukabiliana na matukio hayo kuna haja ya kuwepo kwa mfumo thabiti wa kutoa taarifa mapema.

 

Comments are closed.