MAGEMBE AWASILI WIZARANI BAADA YA KUAPISHWA

MAGEMBE AWASILI WIZARANI BAADA YA KUAPISHWA

Like
325
0
Monday, 28 December 2015
Local News

WAZIRI Wizara ya Maliasili na Utalii Mhe. Prof. Jumanne Maghembe amewasili wizara kwake leo mara tu baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ikulu Jijini Dar es salaam.

Waziri Profesa Maghembe ni miongoni mwa Mawaziri wanne walioteuliwa hivi karibuni na rais kukamilisha baraza jipya la Mawaziri katika Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dokta John Pombe Magufuli.

Kufuatia hafla hivyo, hivi sasa Wizara zote zimekamilika kwa ajili ya utekelezaji wa kauli mbiu ya awamu hii ya Hapa kazi tu.

Comments are closed.