MAGUFURI: WAHANDISI WATATUMIKA KUINUA UCHUMI

MAGUFURI: WAHANDISI WATATUMIKA KUINUA UCHUMI

Like
386
0
Friday, 04 September 2015
Local News

WAZIRI wa ujenzi Dkt  JOHN POMBE MAGHUFULI amesema kuwa  Serikali ya  awamu ya tano itahakikisha inapandisha uchumi  kutoka uchumi wa chini na kufikia uchumi wa kati ambapo wahandisi watatumika kwa kiasi kikubwa kupandisha uchumi huo.

 

Akizungumza jijini  Dar es Salaam,wakati wakufunga mkutamo wa   13 wa siku ya  wahandisi Tanzania inayofanyika  mwanzoni mwa mwezi Septemba kila mwaka,  uliondaliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi-ERB. Mheshimiwa  MAGUFULI amesema kuwa wahandisi wa Tanzania wamefanya kazi kubwa katika kuchochea  uchumi wa nchi hivyo ana imani serikali ya awamu ya tano kwakuwatumia wahandisi hao watazidi kuongeza uchumi wa nchi.

Comments are closed.